Special Entertainment
Msanii wa nyimbo za kizazi kipya, Elias Barnabas akiimba huku akipiga gitaa wakati wa uzinduzi wa bidhaa za TreSSa.Uziduzi ulifanyika katika Hoteli ya Serena Dar es Salaam jana.
| Mkurugenzi wa Bendi ya Machozi, Judith Wambura ‘Lady Jaydee’(kushoto) akiimba sambamba na waimbaji wake wakati wa uzinduzi wa bidhaa za TreSSa uliofanyika katika Hoteli ya Serena Dar es Salaam jana | 
| Meneja wa bidhaa za TreSSa, Dorith Godfrey(kushoto) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa bidhaa za TreSSa uliofanyika katika Hoteli ya Serena Dar es Salaam jana | 
| Balozi wa bidhaa za TreSSa, Elgiver (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa bidhaa za TreSSa uliofanyika katika Hoteli ya Serena Dar es Salaam jana | 
 




 

No comments:
Post a Comment