Slider Adverts

Friday, March 28, 2014

TRESSA PROFESSIONAL HAIR PRODUCT LAUNCHED IN MWANZA.

Balozi wa TreSSa, Eligiva Meena akipozi na kuonesha unywele wake ulivyo stawi.


Meneja masoko wa bidhaa za TreSSa, Manoj Kumar akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa bidhaa za TreSSa uliofanyika katika Hoteli ya Goldcrest jijini Mwanza jana.  Kulia ni Meneja wa bidhaa za TreSSa, Dorith Godfrey


Mwana dada Olever Nazareth mkazi wa malimbe jijini Mwanza akiwekwa dawa ya TreSSa na mhudumu wa salon.

Johan Vanden Heevevol akitoa maelezo ya bidhaa ya TreSSa.

Waalikwa wakifuatilia maelezo ya bidhaa hiyo ya TreSSa


Zawadi zilitolewa kwa washindi wa bahati nasibu.
Msanii Sara Kaisi 'Shaa' akitoa burudani ya sugua gaga

Meneja wa bidhaa za TreSSa, Dorith Godfrey akizungumza wakati wa uzinduzi huo jijini Mwanza.

Story and Images by Father Kidevu Blog...Thank you Mroki for sharing this..
Wanawake tushindwe wenyewe tu sasa...Bidhaa bora ndio hizoooo

No comments:

Post a Comment

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...