Slider Adverts

Tuesday, August 13, 2013

DADA DINA CARE KIDS PARTY!!                                                         FROM DINA !!
 Kama ambavyo niliona visions wakati nawaza kufanya hili jambo miezi kadhaa iliyopita na ndivyo ilivyotimia.Picha zato nilizokuwa nazo kichwani zilitimia jana pale Azura.Niliona kila kitu kabla na nikakifanyia kazi kukileta kwenye reality.Asante wote mlioshiriki kukamilisha picha hizi lakini zaidi ni Mungu maana naamini anatenda kazi yake kupitia mimi bila yeye mie si lolote.Nashukuru kwa wewe uloguswa na ukachangia kwa hali na mali na hata muda wako kuja kukaa na watoto toka zoezi linaanza. Naamini kila mtu uwezo wa kujitolea kwa wengine anao ila ili awezekushiriki lazima awe na taarifa sahihi itakayomgusa kufanya hivyo. Dada Dina Cares ni jina tu nililoamua kuipa hii campaign wala sio NGO ila watu wengi wanashauri iendelee kuwepo ili kusaidia jamii. Next Project itakuwa kujenga wodi ya wazazi katika moja ya hospital.Mungu akipenda inaweza kuwa chini ya Dada Dina Cares or Leo tena ya clouds fm. Ili kuendelea kuvipa suport vituo hivi na vingine kuna kitu nitakiintroduce kesho ukitembelea hapa utakiona. Asanteni Wote na Mungu awabariki!
No comments:

Post a Comment

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...