Slider Adverts

Monday, March 17, 2014

HEALTH CORNER:CONSTIPATION SOLUTION!!


Imekuwa ni tatizo kubwa sana kupita siku zaidi ya moja bila binadamu kupata choo (constipation)..tatizo hili husababisha mtu kujisikia mzito,kuumwa kichwa sana,kukosa usingizi,husababisha mtu kunenepa na mpaka wengine huanza kuoza utumbo au uti wa mgongo.
Juice ya aloevera itakusaidia kusafisha utumbo wako na kulainisha vyakula ili uweze kupata choo angalau mara moja mpaka mbili kwa siku.
Juice hii pia itasaidia kuondoa sumu mwilini(detoxification), kuongeza kinga ya mwili na maradhi mengine kama kisukari,presha,vidonda vya tumbo na mengineyo.
Kupata ya kwako piga simu 0716777425

No comments:

Post a Comment

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...